1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 05.08.2023

TSA / S08S5 Agosti 2023

Kuna uwezekano kiasi gani kwa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS kutumia nguvu kurejesha demokrasia ya Niger? +++Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu Human Rights Watch lakosoa maandalizi ya uchaguzi Zimbabwe. ++Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umezuwa tuhuma za uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinaadamu

https://p.dw.com/p/4UnpJ