1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 14.08.2017

Sylvia Mwehozi
14 Agosti 2017

Katika matangazo haya utasikia yafuatayo: Mbiu ya mnyonge, inamulika misaada ya kiutu inayotolewa na Ujerumani katika wilaya za Lubelu na Walikale huko DRC. Utasikia pia makala yetu leo, masuala ya uhalifu na jinai katika anga za kimataifa.

https://p.dw.com/p/2iAA0