Rais wa Kenya atangaza sheria mpya za kukabiliana na kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona zinazojumuisha kupigwa marufuku safari za kuingia na kutoka katika kaunti kadhaa//Mvutano kati ya Marekani na Iran unazidi kudidimiza matumaini ya kuyafufua mazungumzo ya makubaliano ya mpango wa nyuklia wa Iran yaliyofikiwa 2015//Saudi Arabia yapendekeza mpango wa juhudi ya amani katika vita vya Yemen