Watu kumi wameuawa katika maandamano ya kuipinga serikali nchini Iran//Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ameahidi kuboresha maisha ya Wajerumani wa kila tabaka//Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amtaka Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila kuachia madaraka.