Hungary yazindua kampeni ya kuupinga umoja wa Ulaya ambayo kupitia uchunguzi inawataka watu kutoa maoni yao kuhusu namna ya kukabiliana na sera za Umoja wa Ulaya ambazo inasema zinatishia uhuru wa nchi hiyo, Iran leo hii imepinga madai yaliyotolewa na waziri wa ulinzi wa Marekani James Mattis kwamba ilikuwa ni msambazaji wa kwanza wa ugaidi, na Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi azuru Marekani