1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 09.12.2018

9 Desemba 2018

Miongoni mwa taarifa muhimu ni rais Kabila wa DRC hajaondowa uwezekano wa kurudi tena madarakani baadae, Ripoti ya mashirika ya kijaasusi ya nchi za Magharibi yasema Iran inaendeleza juhudi zake za majaribio ya makombora yanayoweza kupiga hadi Ulaya,Mfalme wa Qatar agoma kwenda kwenye mkutano wa GCC nchini Saudi Arabia.

https://p.dw.com/p/39lrC