Pablo Casado achaguliwa kukiongoza chama cha PP nchini Uhispania, akichukua nafasi ya waziri mkuu wa zamani Mariano Rajoy. Kiongozi wa kidini nchini Iran Ayatollah Ali Khamenei asema mazungumzo na Marekani ni bure kwa vile taifa hilo huwa halifuati kanuni za makubaliano. Upinzani Mali waonya juu ya hitilafu katika uandikishaji wa za daftari la wapigakura kuelekea uchaguzi wa Julai 29.