1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 22.12.2024

22 Desemba 2024

Papa Francis azungumzia tena ukatili unaofanywa na Israel Ukanda wa Gaza. Ufaransa yasubiri uteuzi wa serikali mpya kabla ya Krismasi. Na Mamia wakusanyika Magdeburg, Ujerumani kwa mkesha wa kuomboleza waliouwawa katika soko la Krismasi.

https://p.dw.com/p/4oUHo