John Bolton aionya Iran isifikirie uamuzi wa busara wa Marekani kusitisha mashambulizi ni 'unyonge'.// Mkuu wa majeshi Ethiopia ameuawa huku serikali ikisema jaribio la mapinduzi la jimbo limezimwa.// Tanzania kucheza mechi yao dhidi ya Senegal katika AFCON.