Makundi ya waasi Syria yakubali kuweka silaha chini na kuwa chini ya wizara ya Ulinzi. Israel inaendeleza vita vyake dhidi ya wanamgambo katika Ukingo wa Magharibi. Tamasha la kuwakumbuka walioangamia Magdeburg kufanyika siku ya Alhamisi. Raia wa Marekani mwenye asili ya Urusi afungwa miaka 15 jela kwa madai ya kijasusi