1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaMarekani

Matangazo ya Jioni 25.03.2023

25 Machi 2023

Mashambulizi ya Urusi katika mji wa Bakhmut nchini Ukraine yamekwama baada ya wapiganaji wa Ukraine kujiimarisha//Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris, anaanza ziara yake ya wiki moja barani Afrika// Umoja wa Ulaya na Ujerumani zafikia makubaliano ya kuachana na magari yanayotumia nishati zinazochafua mazingira ifikapo mwaka 2035

https://p.dw.com/p/4PF3j