1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili: 04.09.2020

4 Oktoba 2020

Mwaniaji urais wa chama cha Democratic nchini Marekani Joe Biden aonekana kupata uungwaji mkono zaidi katika kipindi cha mwezi mmoja katika kinyang'anyiro cha urais nchini humo, Rais wa Marekani Donald Trump asema siku zijazo zitakuwa "mtihani halisi" katika kupona kwake COVID-19 na Ufaransa yarekodi maambukizi mapya ya juu ya virusi vya corona ya 17, 000 ndani ya siku moja.

https://p.dw.com/p/3jQKi