Korea Kaskazini yataka luteka ya kijeshi ya pamoja kati ya Washington na Seoul isitishwe na Iran yaridhia vinu vyake vya Nyuklia vichunguzwe na Ukraine yasema Urusi imezidiwa nguvu katika vita vya kuuwania mji wa Bakhmut.Sikiliza matangazo ya DW Kiswahili hapa.