Wapiganaji 100 wa Khalifa Hifter wakamatwa Libya wakijaribu kuingia mji mkuu wa Tripoli. Kiongozi wa mpito Venezuela Juan Guaido aitisha maandamano ya nchini kote Jumamosi. Na, Waziri wa Fedha wa Uingereza Philip Hammond asema serikali yatumai kufikia makubaliano ya Brexit na chama cha upinzani Labour.