Viongozi wa dunia wakusanyika mjini Paris kwa ajili ya kuifunguliwa tena Notre-Dame. Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol ameomba radhi kwa taifa lake kutokana na amri aliyotangaza ya sheria ya kijeshi mapema wiki hii. Wananchi wa Ghana wapiga kura kumchagua rais Jumamosi 07/12/2024.