Ndege ya shirika la ndege la Ethiopia iliyokuwa ikielekea Nairobi kutokea Addis Ababa imeanguka leo asubuhi. Kiongozi wa upinzani wa Venezuela Juan Guaido ameitisha maandamano ya nchi nzima kumshinikiza zaidi rais Nicolas Maduro. Ndege ya serikali ya Algeria ambayo ilimleta rais Abdelaziz Bouteflika mjini Geneva kwa matibabu mwezi uliopita, imeondoka nchini humo mapema asubuhi ya leo.