Zoezi la upigaji kura ya maoni katika mikoa ya Ukraine inayodhibitiwa na Moscow, laingia siku ya pili hii leo. Wizara ya afya nchini Uganda yathibitisha vifo vya watu 11 kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola. Watu 35 wamefariki katika maandamano ya wiki moja nchini Iran.