SiasaKimataifaMatangazo ya mchana: 30.12.2024To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaKimataifaSuleman Mwiru30.12.202430 Desemba 2024Jimmy Carter, Rais wa zamani wa Marekani afariki dunia akiwa na umri wa miaka 100++Maafisa wa Korea Kusini waomba kibali cha kukamatwa kwa rais aliyesimamishwa Yoon Suk Yeol++ Mkuu wa WHO atoa mwito kwa Israel kusitisha mashambulizi huko Gaza. https://p.dw.com/p/4ogawMatangazo