Hatimaye mwili wa aliyekuwa kiongozi wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Etienne Tshisekedi warejea nyumbani. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo aanza ziara ya siku tano barani Ulaya na leo atakutana na Kansela Angela Merkel. Na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, atunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima ya Chuo Kikuu cha Harvard.