Urusi yaamuru majeshi yake kuacha kuwafyatulia risasi raia katika miji waliyoizingira nchini Ukraine, mkuu wa Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Matumizi ya Nishati ya Nyuklia, Rafael Grossi, kufanya mazungumzo na maafisa wa serikali ya Iran mjini Tehran na Korea Kaskazini yafanya jaribio lake la tisa la kombora mwaka huu