Twitter yapiga marufuku akaunti ya kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, kundi la Hezbollah na vuguvugu la Amal nchini lebanon yamesema yako tayari kurejea katika mikutano ya serikali na mateka wanne wako salama na mtekaji nyara wao auawa katika sinagogi moja jimboni Texas nchini Marekani