Israel imeendeleza mashambulizi yake leo katika ukanda wa Gaza, katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres atoa heshima zake kwa wafanyakazi wa Umoja huo waliouawa katika vita kwenye ukanda wa Gaza na Ufaransa imekamilisha shughuli ya kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger