Wanadiplomasia wa Umoja wa Mataifa wasema Urusi na China zilizuia kutolewa rasmi kwa ripoti ya wataalamu wa Umoja huo kuhusu Libya, shirika la afya ulimwenguni WHO laonya juu ya ongezeko kubwa la vifo kutoka kwa janga la virusi vya corona na waziri mkuu mteule wa Lebanon Mustapha Adib amejivua jukumu la kuunda baraza la jipya la mawaziri