1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matibabu ya mapema kwa aliyepata kiharusi

Elizabeth Shoo28 Januari 2016

Kiharusi kinatokea pale ambapo usambazaji wa damu kuelekea ubongo hauendi vizuri au iwapo damu inavuja ndani ya ubongo. Katika makala ya afya, Amina Abubakar anaangalia tiba kwa aliyepata kiharusi.

https://p.dw.com/p/1HlJK
Mgonjwa hospitalini akizungumza na daktari
Picha: DW/J.-P. Scholz/A. Kriesch

[No title]