1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matukio ya Afrika katika magazeti ya Ujerumani wiki hii

Saumu Yusuf18 Juni 2021

Umoja wa Ulaya una wasiwasi mkubwa kuhusu hali ilivyo nchini Msumbiji, Afrika Kusini inaangaziwa wiki hii baada ya tukio la aina yake lililoshuhudiwa wiki moja iliyopita la mama aliyejifungua watoto kumi kwa mpigo. Ni miongoni mwa matukio ya barani Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya hapa Ujerumani mnamo wiki hii inayomalizika.

https://p.dw.com/p/3v9kf