Mawaziri wa Usafiri wa CEEAC wakutana mjini Kinshasa,DRC16.09.200816 Septemba 2008Mawaziri wa Usafiri wa nchi 11 za jumuiya ya kiuchumi ya mataifa ya Africa ya kati CEEAC wamekutana mjini Kinshasa.https://p.dw.com/p/FJGIMji wa Kinshasa palipofanyika mkutano wa CEEACPicha: Alexander GöbelMatangazoKiini cha mkutano huo ni kutathmini usalama wa anga na vilevile kurahisisha maingiliano ya kimkoa kupitia biashara huru. Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.