Mazungumzo baina ya Bibi Asha Rose Migiro na Rais Joseph Kabila
24 Aprili 2007
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo amemuhakikishia naibu mkuu wa umoja wa mataifa Bibi.Asha Rose Migiro nia yake ya kuendeleza ushirikiano na umoja huo.
https://p.dw.com/p/CHFb
Matangazo
Hayo yametokea baada ya mashauriano ya zaidi ya saa mbili kati ya viongozi hao. Bibi.Asha Rose Migiro yuko ziarani mjini Kinshasa.