1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazungumzo baina ya serikali ya DRC na CNDP yaanza tena

19 Machi 2009

Mazungumuzo baina ya wajumbe wa serikali ya DRC na wale wa waasi wa CNDP, ambayo awali yalikuwa yanafanyika mjini Nairobi, Kenya, yalianza tena jana mjini Goma, mashariki mwa DRC.

https://p.dw.com/p/HFbz

Mazungumuzo hayo ambayo kwa wiki kadhaa yalikua yanaendelea mjini Goma baina ya wajumbe bila ya msuluhishi, duru hii yanahudhuriwa na mshauri wa msuluhishi wa mzozo wa mashariki mwa Kongo, Jenerali Lazaro Sumbeiyo.

Mwandishi wetu John Kanyunyu kutoka Goma ametutumia ripoti ifuatayo.

John KANYUNYU


Mhariri: Miraji Othman