1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbappe awekewa matumaini kuisaidia Ufaransa kombe la EURO

Josephat Charo
8 Julai 2024

Ufaransa ina matumaini nahodha wao Kylian Mbappe atafanya maajabu katika nusu fainali ya kombe la EURO 2024 dhidi ya Uhispania. Winga wa Ujerumani Leroy Sane afanyiwa upasuaji baada ya Ujerumani kutolewa katika michuano ya EURO.Na nyota wa Marekani Emma Navarro afuzu kwa robo fainali ya mashindano ya tenis ya Wimbledon.

https://p.dw.com/p/4i1br
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild I Kinderarbeit in Honduras
Picha: Rafael Ochoa/Photoshot/picture alliance Picha: Rafael Ochoa/Photoshot/picture alliance

Michezo