1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump azionya Korea Kaskazini,Iran akiziita nchi za kiimla

19 Septemba 2017

Rais Trump aishambulia kwa maneno Korea Kaskazini akiapa kuiangamiza,Kiongozi wa Myanmar Suu Kyi aitetea nchi yake akisema vijiji vya rohingya havikuguswa na rais Kabila wa Drc afungua mkutano wa amani huko Kasai jimbo la vurugu

https://p.dw.com/p/2kJTU