1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbiu ya Mnyonge: Kilio cha Wahanga wa mauaji ya Yumbe

Saleh Mwanamilongo19 Januari 2021

Wahanga wa mji wa Yumbe ambao upo kilometa chache kutoka mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Kinshasa, wanalilia hai yao. Mauaji hayo yalitokea miaka miwili iliyopita na zaidi ya watu 500 wanaripotiwa kupoteza maisha katika mapigano yaliyodumu kwa siku tatu. Sikia kilio chao katika makala ya mbiu ya mnyonge

https://p.dw.com/p/3o7S2