Mchango wa wanaume kukomesha unyanyasaji wa kijinsia
Ambia Hirsi4 Februari 2016
Wanawake bado wanendelea kunyanyasika licha ya jitihada za mashirika mbalimbali kukomesha dhulma hii. Lakini pengine kinachohitajika ni mchango wa wanaume katika kukomesha ukatili dhidi ya wanawake. Ungana na Ambia Hirsi katika kipindi cha wanawake na maendeleo.