1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara: Kutanuka kwa BRICS na matumaini ya Afrika

25 Agosti 2023

Kwenye Maoni Mbele ya Meza ya Duara wiki hii, Zainab Aziz anaongoza jopo la wachambuzi kuujadili mkutano wa kilele wa mataifa yanayoinukia kiuchumi ulimwenguni, BRICS, uliomalizika nchini Afrika Kusini kwa kuyaalika mataifa mengine sita kujiunga nao: Ethiopia, Misri, Argentina, Saudi Arabia, Iran na Umoja wa Falme za Kiarabu.

https://p.dw.com/p/4Vasz