1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfalme Philippe ajuta lakini hakuomba radhi Kongo

8 Juni 2022

Mfalme wa Ubeljiji Philippe amefanya ziara ya wiki moja nchini Kongo akilihutubia bunge la nchi hiyo,Philippe anaelezea majuto ya "mateso na fedheha" dhidi ya Kongo vilivyofanywa wakati wa ukoloni. Hata hivyo hakuomba radhi na baadhi ya raia wa Kongo walitaka kiongozi huyo kufanya hivyo wakati wa ziara yake hiyo ya kwanza tangu achukue madaraka mwaka 2013.

https://p.dw.com/p/4CR2B