1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfanyabiashara wa Rwanda asiyekata tamaa

17 Novemba 2015

Serge Ndekwe ana umri wa miaka 35. Alirejea Rwanda mwaka 1994 akiwa na umri wa miaka 14. Wazazi wake walikuwa wamekimbilia Kongo. Alianza biashara ya simu, akafungua maduka ya dawa na leo anamiliki migahawa mitatu.

https://p.dw.com/p/1H6yR
DW Sendung Africa on the Move
Picha: DW

Mfanyabiashara wa Rwanda asiyekata tamaa