Mgomo wa Madaktari nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
3 Aprili 2012Matangazo
Tayari mgomo huo umeanza kuonyesha athari katika sekta hiyo ya afya ambapo wagonjwa ambao wamepatiwa matibabu ni wale wa dharura pekee na wale waliolazwa hospitalini kabla ya mgomo.
Madaktari wanadai nyongeza ya mishahara yao ambayo serikali iliahidi kuizidisha mara mbili kuanzia Januari mwaka huu. Taarifa kamili na mwandishi wetu mjini Kinshasa Saleh Mwanamilongo
(Kusikiliza taarifa hiyo tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi :Saleh Mwanamilongo
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman