Maoni mbele ya meza ya duara hapa yanafanya tathmini kuhusiana na miaka miwili tangu rais Felix Tshisekedi alipoingia mamlakani, baada ya kubadilishana madaraka kwa amani na mtangulizi wake Joseph Kabila. Wataalamu kadha wa kadha wamekutana hapa kujadili hili. Tafadhali sikiliza.