1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Michango ya marehemu Mohammed Seif Khatib

Sudi Mnette19 Februari 2021

Kwenye kipindi cha Karibuni, tumekuandalia mengi ikiwa ni pamoja na majonzi makubwa Tanzania kwa kuondokewa na gwiji wa lugha hiyo, mwandishi, mtunzi mashairi, yimbo ambae pia alifahamika kama mwanasiasa wa muda mrefu Dk. Mohammed Seif Khatib. Lakini pia utasikia kuhusu utafiti unaosema virusi vyote vya corona duniani vinaweza kutosha katika kopo la soda ya coca-cola.

https://p.dw.com/p/3pa9d