Migogoro katika chama cha ODM nchini Kenya22.06.200722 Juni 2007Ikisalia miezi sita kabla ya Kenya kuingia katika uchaguzi mkuu wa rais na bunge viongozi mashuhuri hasa kwenye muungano wa ODM wameanza kugombana wenyewe kwa wenyewe na baadhi yao wanatishia kujiondoa kwenye muungano huo.https://p.dw.com/p/CHCMRais Mwai Kibaki yumo katika juhudi za kuwania tena kiti cha Urais.Picha: APMatangazo