UjerumaniMipaka ya ajabu iliyochorwa na Wakoloni barani AfrikaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoUjerumani19.01.202419 Januari 2024Watawala wa mwisho wa kikoloni wa Kijerumani waliondoka zaidi ya karne moja iliyopita. Lakini mipaka ya Kiafrika iliyochorwa mjini Berlin mwishoni mwa karne ya 19 bado haijabadilika hadi leo - na imekuwa na matokeo mabaya sana.https://p.dw.com/p/4bRs7Matangazo