1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mjumbe wa China pembe ya Afrika ajitolea kuwa mpatanishi

Saumu Yusuf21 Juni 2022

China jana Jumatatu ilisema iko tayari kubeba dhima ya kuwa msuluhishi wa kuitafutia ufumbuzi mivutano ya ukanda wa pembe ya Afrika. Ni tamko lililotolewa katika mkutano baina ya China na nchi za kanda hiyo, na mjumbe maalum wa kwanza kabisa wa Beijing katika kanda hiyo, Xue Bing. Sikiliza mahojiano kati ya Saumu Mwasimba na Agina Ojwang, mtaalamu wa masuala ya ukanda wa pembe ya Afrika.

https://p.dw.com/p/4CzhP