1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkenya anayetatua tatizo la uhaba wa vitanda vya hospitali

Angela Mdungu
18 Agosti 2020

Wakati hospitali zikionekana kuelemewa na wagonjwa wa COVID-19 kutokana na uhaba wa vitanda, Kijana Meshack Odhiambo Otieno amejikita katika kutengeneza vitanda vya hospitali ili kusaidia kupambana na janga hilo

https://p.dw.com/p/3h9I6