Mkurugenzi Mkuu wa DHL Freight kutoka Afrika
12 Aprili 2012Matangazo
Mmoja wa hao waliofanikiwa kuwa kileleni katika makampuni makubwa ya kimataifa ni Amadou Diallo kutoka Senegal, ambaye sasa ni mkurugenzi mkuu wa DHL Freight, tawi la kampuni kubwa ya kijerumani, Deutsche Post. Chiponda Chimbelu amekutana na Diallo katika ofisi yake, na katika mazungumzo yao Diallo anasimulia namna alivyofanikiwa kufika mahali alipo leo hii. (Ripoti yake imetafsiriwa na Daniel Gakuba)
Kusikiliza ripoti hii bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Chiponda Chimbelu /Daniel Gakuba
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman