1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano kati ya Ruto na Kenyata unatuma ujumbe gani?

10 Desemba 2024

Nchini Kenya mkutano baina ya rais William Ruto na mtangulizi wake Uhuru Kenya, umezua gumzo hasa wakati huu ambapo serikali ya rais William Ruto inaklabiliwa na shinikizo kubwa ikitakiwa kuitangaza tume mpya ya uchaguzi. Kuhusu mkutano huo, Saumu Mwasimba amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya Dtk Alutalala Mukwana.

https://p.dw.com/p/4nxOT