1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano mkuu wa chama cha ODM waanza nchini Kenya

Samia Othman28 Februari 2014

Chama cha siasa nchini Kenya, ODM, leo hii kimeanza mkutano wake mkuu wa siku mbili ambao pamoja na mambo mengine utafanikisha kupatikana kwa safu mpya ya uongozi wa chama hicho baada ya uchaguzi wa leo.

https://p.dw.com/p/1BHKb
Raila Odinga kiongozi wa chama cha ODM nchini Kenya
Raila Odinga kiongozi wa chama cha ODM nchini KenyaPicha: RODGER BOSCH/AFP/Getty Images

Mkutano huo unawakutanisha viongozi na wanachama wa chama hicho kutoka maeneo mbalimbali ya taifa hilo. Hamisi Rachuri niongozi wa vijana wa ODM jimbo la Kwale na Sudi Mnette kwanza alitaka kujua matumaini yake katika mkutano huu.Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Josephat Charo