Mkutano uliyofanyika Afrika Kusini kuhusu hali ya kisiasa visiwani Komoro
11 Julai 2007
Huko visiwani Komoro pande mbili zinazopingana ambazo ni serikali ya umoja wa Komoro na utawala wa kisiwa cha Anjouan, wamekubaliana kutatua mgogoro unaovikumba visiwa hivyo katika mkutano wake uliyofanyika huko Afrika Kusini.
https://p.dw.com/p/CHB7
Matangazo
Katika mkutano huo masuala mbali mbali yalijadiliwa ikiwa ni pamoja na kufanyika kwa uchaguzi wa rais kisiwani Anjouan.
Abdulrahman Baramia anaripoti zaidi kutoka Komoro.