Rwanda Alhamis ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa kutokomeza malaria na magonjwa 20 ya kitropiki yasiyopewa kipaumbele, ambapo wadau mbalimbali wameelezea magonjwa hayo yalivyo tishio kwa dunia, na juhudi zinazohitajika kuyapiga vita. Isikilize ripoti ya mwandishi wa DW Janvier Popote.