Mkutano wa kimataifa wa wanawake nchini Rwanda22.02.200722 Februari 2007Leo alhamisi unaanza mkutano wa kimataifa wa wabunge wanawake mjini Kigali nchini Rwanda. Mkutano huo utajadili masuala yaliyofikiwa juu ya usawa wa jinsia kama anavyoripoti mwandishi weti wa Kigali Christopher Karenzi.https://p.dw.com/p/CHJaMatangazo