Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Anglikan wamalizika Dar es Salaam
20 Februari 2007Matangazo
Suala la ushoga na usagaji ndiyo iliyokuwa ajenda kuu katika mkutano mkuu wa kanisa hilo uliyoanza siku tano zilizopita. Hiyo inafuatia mvutano uliyosababishwa na kanisa la Anglikan la marekani kuwa na askofu shoga, Robinson.
Kutoka Dar es Salaam Mwandishi wetu Badra Masoud anaripoti zaidi.