Mkutano wa UNHCR pamoja na mawaziri wa mambo ya ndani ya DRC na wa Tanzania
15 Mei 2008Matangazo
Mawaziri wa mambo ya ndani wa DRC na Tanzania wamekutana mjini kinshasa pamoja na shirika la UNHCR ili kukadiria uwezekano wa kuwarejesha maelfu ya wakimbizi wa kongo ,wanaoendelea kuishi nchini Tanzania.
Taarifa zaidi na saleh Mwanamilongo: